MKUU wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman
Abdalla, akimpatia mtoto mchanga chanjo katika hospitali ya Mama wajawazito na
watoto Gombani, katika uzinduzi wa Chanjo kwa watoto ya kitaifa kwa bara la
Africa kila ifikapo Aprili 24 ya kila mwaka.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).
Deportivo La Coruña, Levante Uso kwa Uso Leo Usiku
-
TIMU za Deportivo La Coruña na Levante zinatarajiwa kukutana usiku wa leo
Ijumaa, Oktoba 16, 2026, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania, LaLiga,
utakaopi...
18 hours ago


0 Comments