BIASHARA ya Minazi katika kipindi hiki cha Mvua
zinazoendelea Kisiwani Pemba, imekuwa maradufu ambapo mche mmoja huuzwa kati ya
2,500/= hadi shilingi 3,000/=, pichani gari aina ya keri ikiwa imepakia miche
hiyo katika soko la Matunda Chake Chake.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).
Deportivo La Coruña, Levante Uso kwa Uso Leo Usiku
-
TIMU za Deportivo La Coruña na Levante zinatarajiwa kukutana usiku wa leo
Ijumaa, Oktoba 16, 2026, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania, LaLiga,
utakaopi...
20 hours ago

0 Comments