WATENDAJI waliowengi wamekuwa wasugu
kuzungumza na waandishi wa habari, lakini kwa waliopo Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, wamekuwa wakiwakaribisha waandishi ambapo Afisa
Mipango wa Kituo hicho Khalfan Amour Mohamed, akizungumza na waandishi wa habri
kutoka kituo cha ZENJ FM kulia Radhia Abdalla na Habiba Zarali kutoka Gazeti la
Zanzibar leo, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
Deportivo La Coruña, Levante Uso kwa Uso Leo Usiku
-
TIMU za Deportivo La Coruña na Levante zinatarajiwa kukutana usiku wa leo
Ijumaa, Oktoba 16, 2026, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania, LaLiga,
utakaopi...
18 hours ago
0 Comments