6/recent/ticker-posts

Waziri Mkuu ahutubia kuhusu kilimo barani Afrika katika Borlaug Dialogue

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, akitoa hotuba kuhusu kilimo barani Afrika katika Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des Moines, Marekani.
Baadhi ya washiriki wakipiga makofi wakati wa Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des Moines, Marekani, Oktoba 22, 2026.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, akitoa hotuba kuhusu kilimo barani Afrika katika Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), katika Kituo cha Mikutano cha Iowa, jijini Des Moines, Marekani, Oktoba 22, 2026.

Post a Comment

0 Comments