6/recent/ticker-posts

DKT. MWIGULU AFUNGUA KONGAMANO LA 26 WA SACCOS

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akikata utepe kuzindua Taarifa ya Mwaka kuhusu Uendeshaji, Utendaji na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika wa Kifedha (SACCOS) nchini Tanzania, wakati wa alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa Kongamano la 26 la SACCOS barani Afrika, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Oktoba 15, 2026.Kulia ni Waziri wa Kilimo Daniel Chongolo na kushoto ni Mtendaji Muu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania Dkt. Benson Ndiege (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa Kongamano la 26 la Vyama vya Ushirika wa Kifedha (SACCOS) nchini Tanzania barani Afrika, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Oktoba 15, 2026 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments