Kikosi cha Timu ya Singida Big Star kinachoshiriki Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2025, katika mashindano hayo imetoka sare ya bao 1-1, dhidi ya Timu ya Azam FC mchezo uliofanyika usiku 31-12-2025 katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.
MUSWADA WA MABADILIKO YA SHERIA MBALIMBALI KUWEZESHA UTEKELEZAJI WA DIRA YA
TAIFA 2050
-
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amesema kuwa Serikali
inaendelea kufanya maboresho katika Sheria mbalimbali ili kuweka mazingira
weze...
13 hours ago


0 Comments