Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar tarehe 23 Disemba, 2025.
TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZETU KIDIJITALI KUONGEZA UFANISI KWA
WAGENI-NCAA
-
Uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) umeeleza kuwa,
umedhamiria kuendelea kuboresha utoaji huduma kwa watalii kwa njia za
kisasa kupi...
7 hours ago

0 Comments