Mchezaji wa Timu ya African Magic Y. Abdi akiwa na mpira akijiandaa kumpita mchezaji wa Timu ya Kwerekwe Yankees A.Adil, wakati wa mchezo wao wa Kikapu Ligi Kanda ya Unguja mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya African Magic imeshinda mchezo huo kwa Vikapi 75-49.
TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZETU KIDIJITALI KUONGEZA UFANISI KWA
WAGENI-NCAA
-
Uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) umeeleza kuwa,
umedhamiria kuendelea kuboresha utoaji huduma kwa watalii kwa njia za
kisasa kupi...
11 hours ago















0 Comments