Mchezaji wa Timu ya Malindi akiwa anamiliki mpira huku wabeki wa Timu ya KMKM wakijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar , mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung. timu hizo zimetoka sare ya 0-0.
MUSWADA WA MABADILIKO YA SHERIA MBALIMBALI KUWEZESHA UTEKELEZAJI WA DIRA YA
TAIFA 2050
-
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amesema kuwa Serikali
inaendelea kufanya maboresho katika Sheria mbalimbali ili kuweka mazingira
weze...
12 hours ago








0 Comments