Mchezaji wa Timu ya Muembemakumbi City akimpita beki wa Timu ya Chipukizi wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ mchezo uliyofanyika leo 20-10-2025 katika Uwanja wa Mao Zedung.Timu ya Muembemakumbi City imeshinda mchezo huo kwa Bao 2-0.
Deportivo La Coruña, Levante Uso kwa Uso Leo Usiku
-
TIMU za Deportivo La Coruña na Levante zinatarajiwa kukutana usiku wa leo
Ijumaa, Oktoba 16, 2026, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania, LaLiga,
utakaopi...
18 hours ago







0 Comments