Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Fatma Mrisho amesema iwapo kutakuwa na usimamizi na ukaguzi kwa Wauguzi na Wakunga katika sehemu zao za kazi kutaondokana na malalamiko kwa wananchi wanaofika kupata huduma za afya. Hivyo ameutaka Uongozi wa Idara ya Uuguzi na Ukunga kusimamia na kufanya Ukaguzi wa mara kwa mara katika Mahospitali na Vituo vya Afya ili wafanyakazi waweze kutoa huduma zenye ubora.
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI ATEMBELEA TCAA
-
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mhe. Abdallah Mitawi, ametembelea
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kwa lengo la kufahamu kwa kina
ma...
NBC Yatoa Mikopo ya Makazi kwa Wakulima 57
-
- Yaendelea kukabidhi Malori kwa Vyama vya Ushirika
Kufuatia hatua ya Serikali kukabidhi Shilingi bilioni 300 kwa taasisi saba
za kifedha, ikiwemo Benki...
0 Comments