Msanii wa Muziki wa Bongo Flava Kondeboy ametowa burudani kwa Wananchi wa Zanzibar na Mashabiki wa mchezo wa Soka Zanzibar katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika jana usiku katika uwanja wa Amaan Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa mikwaju ya peneti 4-3.
TANZANIA YASHUKURU MCHANGO WA BENKI YA DUNIA KATIKA MIRADI YA MAENDELEO
NCHINI TANZANIA
-
Na. Joseph Mahumi, Bangkok, Thailand
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameishukuru Benki ya
Dunia kwa mchango wake katika kuimarisha us...
6 minutes ago
0 Comments