Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi kijiji cha Kitama kata ya Mihuta alipokuwa njiani kuelekea Tandahimba Mkoani Mtwara kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 11,2020.
WANANCHI ZAIDI YA 3,800 WANUFAIKA NA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MACHO
ILIYOENDESHWA NA MUHIMBILI ZANZIBAR
-
Jumla ya wananchi 3,879 wamenufaika na Kambi Maalum ya Matibabu na Upasuaji
wa Macho iliyoendeshwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa
kushirikiana...
6 hours ago
0 Comments