Wananchi wakiwa katika eneo la barabara ya kwenda Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba wakiliagalia gari lenye namba za usajili Z990 GX, iliopata ajali katika eneo hilo wakati ikielekea Uwanja wa Ndege na kupata ajali hiyo kwa kupinduka na abiria wa ajali hiyo wamejeruhiwa na kupata matibabu katika hospitali ya Chakechake, hakuna mtu aleyefariki katika ajali hiyo.Picha na Omar Mohammed,Pemba)
DKT. MWIGULU: TUWAWEZESHE WATANZANIA KUSHIKA UCHUMI WAO
-
▪️︎ Azindua Mfumo wa Kitaifa wa Taarifa za Uwezeshaji Kiuchumi (NEMIS)
▪️︎ Ataka wigo wa miradi kwa Watanzania kupanuliwa
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nche...
17 hours ago


0 Comments