Rais Jakaya Kikwete akiongea na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Mh Philemon Luhanjo (kulia) na Katibu Mkuu kiongozi mteule Balozi Ombeni Sefue ofisini kwake Ikulu Dar es salaam Ijumaa usiku mara baada ya kufanya uteuzi huo.
Deportivo La Coruña, Levante Uso kwa Uso Leo Usiku
-
TIMU za Deportivo La Coruña na Levante zinatarajiwa kukutana usiku wa leo
Ijumaa, Oktoba 16, 2026, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania, LaLiga,
utakaopi...
18 hours ago

0 Comments