WAFANYAKAZI wa Idara ya Utunzaji Barabara wakiweka lami katika barabara ya Bububu eneo la Mtoni ambalo lilikuwa limepa…
HATA na sisi tunahitaji hifadhi na wanyama wakali ndivyo inavyoonekana wakiteta hawa kuku wakiwa katika hifadhi ya cha…
Allah Subhaanahu Wata’ala anapotukubaliya du’aa zetu hutuzidishiya imani Anapotuchelewesheya hutuzidishiya uvumilivu …
Mtuhumiwa kesi ya kuchoma moto msahafu analoshitaka la kujibu-hakimu Na Khamis Amani MTUHUMIWA wa kesi ya kuchoma mo…
Utangulizi Oktoba 31, 2010 Tanzania ilifanya uchaguzi mkuu ambapo wananchi walipata fursa ya kumchagua Rais, wabunge …
KUNA baadhi ya Wananchi wanakiuka sheria ya kuhifadhi mazingira ya maeneo yao na kusababisha uharibifu wa mazingira k…
Na Fatma Kassim, Maelezo KATIBU Mkuu Wizara ya Afya, Dk. Mohammed Saleh Jidawwi, amesema kuwa kuwepo kwa muongozo wa d…
Na Mwandishi Wetu WANAVIKUNDI 189 wa mradi wa WEZA kisiwani Pemba, wamechangisha jumla ya shilingi 33,145, 000 kupitia…
Na Haji Nassor ZJMMC. DIWANI wa wadi ya Fuoni, Wilaya ya Magharibi Unguja, Shaka Hamdu Shaka, amelaani tabia inayofany…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa China Nchini Tan…
Na Aboud Mahmoud SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar, imesema itaendelea…
Ahmed Khalfan Ghailani amehukumiwa kifungo cha maisha na Jaji aliyekuwa akisikiliza kesi yake Lewis A Kaplan leo asubuh…
Wataka wanaoingiza wasifumbiwe macho Na Mwantanga Ame WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wameitaka serikali kutowaonea …
JENGO la Mahkama Kuu Vuga ambapo kesi ya mauaji inaendelea kunguruma
WAZIRI wa Mifungo na Uvuvi Said Ali Mbrouk Gando CUF) na mjumbe wa baraza Rufai Said (Tumbe CUF) wakiwa nje ya ukumb…
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema nyumba ya kulelea watoto yatima Mazizini inamilikiwa na Jumuiya ya ZAYEDESA na …
Na Mwanajuma Abdi MARIDHIANO ya kisiasa yaliyofikiwa nchini yamesaidia kuimarisha zaidi Polisi Jamii katika Mkoa wa Ku…
Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Zanzibar Berryblack alikuwa Sweden katika mwendelezo wa ziara yake ya kimuziki katik…
Na Khamis Amani UPANDE wa mashitaka katika mahakama ya wilaya Mwanakwerekwe, unaosimamia kesi ya kuchoma moto msahafu …
Wizara yakiri kuwepo ukiukwaji katiba, ubabaishaji Na Mwandishi Wetu WIZARA ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, …
Na Aboud Mahmoud UONGOZI uliochaguliwa hivi karibuni kusimamia uwanja wa michezo wa Mao Tsetung, umesema unakusudia ku…
Na Salum Vuai KLABU ya muziki ya taarab na maigizo Culture Imepata viongozi watakaiongoza kwa kipibndi cha miaka mita…
Na Mwajuma Juma TIMU ya soka ya Ofisi ya Rais, Ikulu, juzi iliwatoa nishai wenyeji wao Jamhuri ya Makunduchi, kwa kuic…
WAHITIMU wa Chuo kikuu cha Elimu Chuklwani wakisoma majina yao katika orodha ya Wahitimu wanaokabidhi shahada zao baad…
Na Mwandishi wetu Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema hakuna ufukwe uliouzwa kwa Wawekezaji Visiwani Zanzi…
Wauza kiwanja cha Ikulu Na Mwanajuma Abdi WAZIRI wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, Ali Juma Shamuhuna amesema lipo…
Ni katika kuelimisha sayansi, teknolojia mashambani, uvuvi Afungua milango zaidi kwa wawekezaji sekta ya elimu Na R…
Na Asya Hassan HUKU wanaharakati wakipaza sauti kulilia mabadilisho ya katiba mpya nchini Tanzania, kituo cha huduma z…
Wawezeshwe kukabili soko la ajira Na Abdi Shamnah MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad, am…
JUMLA ya waombaji 976 waliwasilisha maombi yao kati yao waombaji 625 walikubaliwa kupatiwa mikopo baada ya kuingia Mkat…
Ukumbi wa Nkrumah ulivyofurika kumsikiliza Dr Bilal Philips ambapo washiriki wa kike na kiume kutoka dini zote waliali…
WIZARA ya miundombinu na Mawasiliano kupitia shirika la meli imesema, imeandaa mpango wa kuziuza meli zake zilizopo sas…
WIZARA ya Mifugo na Uvuvi imesema inaandaa mipango ya kuanzisha hifadhi ya eneo la Kojani ili kuendeleza uhifadhi wa ma…
WAZIRI waNchi Uwezeshaji wananchi kiuchumi Haroun Ali Suleiman, amesema Serikali ya awamu ya saba ina lengo la kuhakiki…
JUMLA ya wagonjwa 119 wenye maradhi ya figo wametibiwa Hospitali ya Mnazi mmoja kwa kipindi cha mwaka 2009/2010. Hayo …
Na Sheikha Haji Dau na Halima Abdalla WAZIRI wa Nchi Afisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Fatma Abdul Habib Ferej amesema…
Nakuletea zawadi nami niko ibadani Nimeinuka kusudi kwa kumuomba Manani Na du’aa ya kusujudi hairudi asilani Naomba …
Na Khamis Amani RAIA mmoja wa Russia, aliyekuwa akitumikia kifungo cha maisha katika Chuo cha Mafunzo Zanzibar amefari…
Na Mwantanga Ame BARAZA la Wawakilishi la Zanzibar linatarajiwa kuanza kikao chake leo ambapo kitajadili hotuba ya Rai…
Na Mwantanga Ame BENKI ya Maendeleo ya Afrika (ADB), imeahidi kuendeleza kutoa misaada yake kwa sekta binafsi, kutokan…
Na Fatma Kassim, Maelezo WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Juma Duni Haji amesema kupiga hatua kwenye sekta ya Afya n…
MAFUNDI Seremala wakiwa katika mnada wa Darajani wakiwa na Vitanda vyao wakisubiri wateja wa bidhaa hiyo kitanda kimoja…
Na Mwanajuma Abdi SHILINGI Bilioni tano zimetumika kuwalipa fidia wananchi watakaoathirika wakati wa uwekeji waya wa p…
Na Juma Khamis WAFANYAKAZI wengi wa mahotelini na utalii hawajaona umuhimu wa kujiunga na vyama vya wafanyakazi kiasi …
Lengo ni kudhibiti mapato ya serikali Na Mwantanga Ame UONGOZI wa Wizara ya Nchi Afisi ya Rais, Fedha, Uchumi na Mi…
Na Abdulla A. Abdulla, UONGOZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaskazini B umeshauriwa kutoa adhabu kali kwa wanaochafua m…
Na Ali Mohamed, Maelezo UJENZI wa Barabara mbili za ndani katika jimbo la Makunduchi umezinduliwa rasmi na Naibu Wazir…
Na Mwantanga Ame OFISI ya Baraza la Wawakilishi imesema iko mbioni kutafuta wafadhili watakaoweza kusaidia uwezekano w…
Niliposoma taarifa za Uingereza ambapo mmoja katika wabunge wa zamani, David Chaytor amehukumiwa kwenda jela miezi kumi…
HII ni moja ya Maskani katika kijiji cha Chokocho, Kisiwani Pemba inayoitwa Umoja wa Mataifa ikipeperusha bendera za Vy…
JAMANI hii ni haki kwa mnyama huyu anayetumiwa kukokota gari na kuwekwa mzigo na wenye mzigo kumpanda bila ya kujali h…
TOP MUST SEE CHOICES: THE FULL LIST FROM AROUND THE WORLD 1. Santiago, Chile 2. San Juan Islands, 3. Koh Samui, Th…
Naam linaitwa dafu lakini hili si la kitamli na lina kila aina ya sifa ukitaka la nyama laini au nyama nzito ya kushib…
Na Abdi Shamnah MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad amepongeza juhudi zinazochukuliwa na w…
Mswaada wa sheria kuwasilishwa Barazani Kuswekwa jela, faini nzito Na Mwantanga Ame KIYAMA cha waingiza vyakula vibo…
Kijana kwenye picha ni Maalim Haji Makame Ussi wa SUZA. Yupo USA ( Marekani) kutoa mafunzo yatakayosaidia kufundisha Ki…
Kuangalia maeneo ya uwekezaji, utalii Na Rajab Mkasaba NCHI ya Pakistani imesema itazidisha uhusiano wake wa kihisto…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Pakist…
Na Halima Abdalla, Asha Bakari (MUM) MTANGAZAJI mstaafu wa Sauti ya Tanzania Zanzibar Amour Khalfan, amesema maisha ba…
Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete jana alikutana na ku…
Vipeperushi vyaanisha mwisho wa dunia Sheikh, Mchungaji wawatoa hofu wananchi Na Kunze Mswanyama, Dar HOFU na was…
Na Raya Hamad, OMKR WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Fatma Abdulhabib Ferej, ameitaka Idara ya Mazin…
Amtaka Nahodha kuondosha aibu hiyo jeshini Na Abdi Shamnah MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Sharrif Hamad…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya N…
· Washerehekea bila kujali mvua, jua Amaan Na Mwanajuma Abdi WANANCHI wa Zanzibar bila ya kujali hali ya hewa, na iti…
· Mabadiliko makubwa yaja utumishi wa umma · Huduma bora bila ubaguzi ni haki ya kila mwananchi Na Mwantanga Ame SER…
TAREHE 12 JANUARI, 2011 Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiw…
MABALOZI wanaowakilisha nchi zao Tanzania wakishiriki Sherehe za Mapinduzi Uwanja wa Amaan wakiwa katika jukwaa la uw…
Tufuate Humu