JENGO Jipya la Abiria Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar linaloanza kuaza ujenzi wake rasmin mwakani mwezi wa januari 2011 likionekana pichani. Litakuwa la Kisasa na lenya hadhi ya kimataifa.
Huna SIM Card? Hakuna Tatizo! Kwetu eSIM Inakuwezesha Kuunganishwa Nchi
Zaidi ya 190
-
Fikiria unatua katika nchi mpya na intaneti yako tayari inafanya kazi
kabla hata hujatoka uwanja wa ndege. Hakuna haja ya kutafuta Wi-Fi. Hakuna
kununua...
7 hours ago
0 Comments