Wadau mlio ughaibuni mmeona hygiene - jinsi tunavyohakikisha hatupatwi na vijidudu vinavyosababisha maradhi licha ya Nduaro kushughulikiwa chini ambako hali yake ya usafi kama unayoiona. Kwani hata pweza kwanza lazime apate kichapo cha kupigwa na chini ili aregee na chini kwenyewe ni sehemu yoyote. Kisha huoshwa tayari kwa mapishi.
MAPENDEKEZO YA VIJANA YATAPOKELEWA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA, KUKABILIANA NA
MIMBA ZA UTOTONI - PROF. SHEMDOE
-
Na: OWM–TAMISEMI, Arusha
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amesema Ser...
2 hours ago
0 Comments