Maji ni muhimu kwa kila kitu kwa matumizi yake Binadamu, Mimea na Wanyama wanahitaji maji .Kama anavyoonekana pichani Kuku huyu akijipatia maji kupitia katika bomba la kutolea maji nje katika moja ya nyumba eneo la tunguu Zanzibar Mkoa wa Kusini Unguja.
NAIBU WAZIRI WA MAJI AHIDI KUTAFUTWA CHANZO KIPYA CHA MAJI KABANGA
-
Na Byera Deus, Ngara
NAIBU Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Andrew Mathew, amesema Serikali
itaendelea kuchukua hatua za kuboresha upatikanaji wa maji safi n...
44 minutes ago
0 Comments