Wananchi wa Jimbo la Mtoni Jijini Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Chuo Cha SUZA Betras Jijini Zanzibar, wakiwa katika zoezi la kuchukua Vitambulisho vyao vipya vya kupigia kura Zanzibar.
SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU
-
Serikali imeendelea kuchukua hatua za kuimarisha sekta ya elimu kwa
kuongeza miaka ya elimu ya lazima, kupanua fursa za elimu ya sekondari na
kuimarisha ma...
2 hours ago


0 Comments