BIASHARA ya Samaki katika mwezi mtukufu wa Ramadhani imekuwa ni mashuhuri kwa ajili ya kupata kitoeleo cha Futari, pichani baadhi ya wananchi wa Chake Chake wakinunua samaki kwa mmoja wa wachuuzi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU
-
Serikali imeendelea kuchukua hatua za kuimarisha sekta ya elimu kwa
kuongeza miaka ya elimu ya lazima, kupanua fursa za elimu ya sekondari na
kuimarisha ma...
2 hours ago
0 Comments