MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mjini Baraka Shamte,
akizungumza na wananchama wa CCM Jimbo la Wawi wakati wa uzinduzi wa Kampeni za
jimbo hilo, huko katika viwanja vya maskani ya wazee Machomanne Chake Chake
Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WANANCHI na wanachama wa CCM Jimbo la Wawi Wilaya ya
Chake Chake Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa CCM Wilaya
ya Mjini Baraka Shamte, wakati alipokuwa akiwanadi wagombea wa jimbo hilo,
katika viwanja vya maskani ya Wazee Machomanne.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mjini Baraka Shamte,
akimnadi mgombea Uwakilishi jimbo la Wawi, Hamad Abdalla Rashidi (Gerei)kwa
wananchi wa jimbo hilo wakati wa uzinduzi wa kampeni za jimbo hilo katika
viwanja vya Maskani ya Wazee Machomanne.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mjini Baraka Shamte,
akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Wawi, Daudi Khamis Juma kwa wananchi wa jimbo
hilo wakati wa Uzinduzi wa kampeni za jimbo hilo katika viwanja vya maskani ya
wazee Mchomanne.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
MGOMBEA Ubunge jimbo la Wawi Daudi Khamis Juma
mwenye ilani ya CCM, akiwa na mgombea Uwakilishi jimbo hilo Hamadi Abdalla
Rashid, wakimsikiliza kwa makani Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mjini Baraka
Shamte, wakati akizindua kampeni za Jimbo hilo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWENYEKITI wa kamati ya Siasa Mkoa wa kusini Pemba
Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na wananchi wa jimbo la wawi, wakati
wa uzinduzi wa kampenzi za jimbo hilo, katika viwanja vya Maskani ya wazee
Machomanne.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA TATU WA (IPCC)
-
TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tatu wa Wataalamu wa Kundi
la Kwanza la Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na
Ta...
0 Comments