Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe kuzindua rasmi mpango wa bima ya afya na maafa wa WESTADI wa mfuko wa Jamii wa NSSF jijini London, akiwa na Mkurugenzi wa NSSF Dkt RAmadhani Dau na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya mfuko huo Bw. Abubakar Rajabu (kushoto) . Mwenye miwani kati ni Bw. Aboubakar Faraji aliyekuwa mwongoza sherehe wa siku hiyo ambapo Dkt Kikwete alikutana na kuzungumza na Watanzania waishio Uingereza.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Bw. Hague alipomtembelea ofisini kwake jijini London kwa mazungumzo Machi 31, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron alipomtembelea ofisini kwake 10 Downing Street jijini London kwa mazungumzo Machi 31, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Meya wa Jiji la London Mstahiki Alderman Fiona Woolf alipomtembelea ofisini kwake Mansion House jijini London Machi 31, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wafanyabishara wakubwa na wawekezaji wa Uingereza aliokutana nao katika mkutano wa biashara na uwekezaji katika makao makuu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Jumuiya ya Madola jijini London Machi 31, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wadau mbalimbali wa biashara na uchumi wa Uingereza aliokutana nao katika ukumbi wa Chatham House jijini London Machi 31, 2014
PICHA NA IKULU





1 Comments
JK , waingereza ndio walimu wetu kwenye mambo mengi , jifunze demokrasia ndugu yangu kutoka kwao , waangalie walivyo waadilifu na wenye kutambua haki za watu , wanafanya kura ya maoni scotland mwaka huu , hilo ni jambo la kujifunza sio kulazimisha utawala kidikteta
ReplyDelete