Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika na ujumbe wake
kuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete akipokea toka kwa Sheikh Mohamed Rukara, ujumbe maalum wa Rais wa
Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, aliyeuwasilisha
ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete akimsindikiza Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika
kuuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt jakaya Mrisho Kikwete akihutubia akizindua rasmi rasmi
mpango wa Mkoba Private Equity Fund katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es
salaam.
Rais
Dkt jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama
alama ya kuzindua rasmin mpango wa Mkoba Private Equity Fund
katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya kalenda kutoka kwa Msajili wa
Baraza la Uuuguzi na Ukunga Tanzania
Mama Lena Mfalila wakati alipokutana na uongozi wa baraza hilo
Ikulu jijini Dar es salaam .Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S.
Rashid.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa Baraza la
Uuguzi na Ukunga Tanzania
alipokutana nao Ikulu jijini Dar
es salaam. Kulia ni Waziri wa Afya na
Ustawi wa Jamii Dkt Seif S. Rashid.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga 









0 Comments