Bw. Issa Seremani Issa (60), mkazi wa Shehia ya Mangapwani Mdodoni, Wilaya yaKaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana (Oktoba 28, 2012).
Bw. Ame Khamis Ame (38) mkazi wa Shehia ya Mangapwani Mdodoni, Wilaya yaKaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana (Oktoba 28, 2012).(
Bw. Mbaruku Muhamad Mbaruku (65), mkazi wa Shehia ya Bumbwini Misufini, Wilaya yaKaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana (Oktoba 28, 2012).(
Bi. Khadija Abas Haji (49), mkazi wa Shehia ya Bumbwini Misufini, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja akitoa maoni yake Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana
Wakazi wa Shehia ya Bumbwini Misufini, Wilaya yaKaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja wakifuatilia mkutano wakutoa maoni kuhusu Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana (Oktoba 28, 2012).(Picha zote na Tume ya Mabadiliko ya Katiba)
Uzinduzi Wa Kipekee Wa Eruption Blaze Cashingo Rumble Wabamba Meridianbet
-
MERIDIANBET, jukwaa kinara la michezo ya kasino mtandaoni na ubashiri wa
michezo nchini Tanzania, limezidi kupandisha burudani kwa kuzindua mchezo
mpya w...
10 hours ago
0 Comments