MADHARA ya Upepo uliovuma usiku wa kuamkia leo umesababisha madhara kwa banda la Biashara kuangukiwa na Mti wa Mvinje juu yake Madungu Chakechake Pemba. Hakuna mtu aliyejeruhiwa katika ajali hiyo.
SHINA la mti huo likiwa liko juu ya banda hilo, ambalo ndani yake mlikuwa na watu, ingawaje hawakujeruhiwa


0 Comments