Mchezaji wa Timu ya Kwerekwe Young Kees akiwa na mpira akijiandaa kumpita mchezaji wa Timu ya Good morning, katika mchezo wao wa Ligi Kanda ya Unguja mchezo uliyofanika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Kwerekwe imeshinda mchezo huo kwa Vikapu
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungan...
9 hours ago





0 Comments