Mshabuliaji wa Timu ya Singida FG akimiliki mpra huku mabeki wa Timu ya Simba wakijiandaa kumzuoya wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi mchezo unaofanyika usiku huu Uwanja wa Amaan Complex. Timu ya Simba ikiwa mbele kwa mabao mawili dhidi ya Singida.FG.
AFRIKA KUUNGANA KUCHOCHEA MAENDELEO YA VIWANDA.
-
Na. Saidina Msangi, WF, Abidjan, Côte d’Ivoire.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mshamu Ali Munde (Mb), kwa niaba ya Waziri wa
Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa O...
3 hours ago










0 Comments