Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Refocus Afrika uliofika Ikulu Jijini Zanzibar leo ambapo mazungumzo hayo yamegusia zaidi kuhusu masuala mbali mbali ya michezo,Filamu na Muziki hapa Zanzibar.[Picha na Ikulu].18/11/2020.
RAIS WA BURUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani
kwake...
1 day ago
0 Comments