Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Bw. Gervace Stephano Makoye katibu wa Ccm wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita alipomtembelea ili kumjulia hali nyumbani kwake Chato. Disemba 22, 2019. Bw. Makoye aliyewahi kuwa katibu wa Mhe. Magufuli kwa miaka 10 wakati akiwa Mbunge wa Chato anaendelea na matibabu nyumbani kwake katika Mtaa wa Kalema Chato Mjini Mkoani Geita.
RAIS DKT. MWINYI: ZIARA ZA QATAR, HISPANIA NA ARMENIA ZAFUNGUA FURSA ZA
MAENDELEO ZANZIBAR
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein
Ali Mwinyi, amesema ziara zake nchini Qatar, Hispania na Armenia zimefungua
fursa ...
8 hours ago

0 Comments