Tujikumbushe enzi za kahawa kuuziwa katika Dele maalum na wauzaji kuwa katika vazi kama hilo la kikoto na kupitisha mitaani na katika maeneo maalum ya kuuziwa kahawa katika Visiwa vya Zanzibar.Wachache wamewahi kuona na kwa sasa madele hayo yamebaki kuwa historia katika maduka ya kuuzia vitu vya Kitalii Zanzibar katika mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar utayakuta yakiwa katika maduka hayo.
WAZIRI MKUU AWASILI MAREKANI KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA
BORLAUG
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Des Moines, Jimbo la
Iowa, nchini Marekani, Oktoba 18, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano...
19 minutes ago

0 Comments