Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Usirikiano wa Afrika ya Mashariki. Profesa Palamagamba Kabudi katika Mkutano wa TICAD 7 uliofanyika kwenye Ukumbi wa hoteli ya Pscifico Yokohama nchini Japan, hivi karibuni. Mkutano huo umemalizika na wote wamerejea nyumbani.
RAIS WA BURUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani
kwake...
1 day ago
0 Comments