Ujenzi wa Barabara mpya kwa kiwango cha lami katika maeneo mbalimbali kisiwani Pemba,Mmoja ya Mradi huo wa barabara ya ikiwa katika makutano ya Mabao ikitokea Ole na kuelekea Kengeja na Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake.Pemba ikiendelea na ujenzi wake kama inavyoonekana picha makutano ya barabara hiyo maeneo ya mzunguko wa mabaoni.
Deportivo La Coruña, Levante Uso kwa Uso Leo Usiku
-
TIMU za Deportivo La Coruña na Levante zinatarajiwa kukutana usiku wa leo
Ijumaa, Oktoba 16, 2026, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania, LaLiga,
utakaopi...
21 hours ago
0 Comments