MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe;Salama Mbarouk,
akizungumza na askari wa JKU Pemba, kabla ya uzinduzi wa Zoezi la Ufanyaji wa
Usafi katika hospitali ya Chake Chake, ikiwa ni shamrashamra za kutimia miaka
50 ya kambi za Vijana na Miaka 40 ya JKU.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
ASKARI wa JKU Pemba wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa
Wilaya ya Chake Chake, wakati alipokuwa akizindua zoezi la ufanyaji usafi
katika Hopitali ya Chake Chake, ikiwa ni shamrashamra za kutimia miaka 50 ya
kambi za Vijana na Miaka 40 ya JKU.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe;Salama Mbarouk
Khatib, akifyaka majini ndani ya Hospitali ya Chake Chake, shamrashamra za
kutimia miaka 50 ya kambi za Vijana na Miaka 40 ya JKU.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
ASKARI wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU),
wakifanya usafi ndani ya Hospitali ya Chake Chake, ikiwa ni shamrashamra za
kutimia miaka 50 ya kambi za Vijana na Miaka 40 ya JKU.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
ASKARI wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU), wakifanya usafi ndani ya Hospitali ya Chake Chake, ikiwa ni shamrashamra za kutimia miaka 50 ya kambi za Vijana na Miaka 40 ya JKU.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA TATU WA (IPCC)
-
TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tatu wa Wataalamu wa Kundi
la Kwanza la Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na
Ta...
0 Comments