Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais Zanzibar Mhe.Mihayo Juma Nhunga akizungumza na wafanyakazi wa taasisi ziliopo chini ya ofisi yake Idara ya sherehe na Maadhimisho ya kitaifa na Kamisheni ya kukabiliana na Maafa Zanzibar.
MRADI WA MAJI WA MIJI 28 RWAKAJUNJU WAFIKIA ASILIMIA 79
-
Na Byera Deus, Karagwe
UJENZI wa Mradi wa Maji wa Miji 28 wa Rwakajunju, wilayani Karagwe, mkoani
Kagera, umefikia asilimia 79 ya utekelezaji wake, huku u...
20 minutes ago

0 Comments