Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, ndugu Idrissa Kitwana Mustafa awasili leo Sweden akifuatana na ujumbe wa watu kumi kutoka Makunduchi. Kwenye uwanja wa ndege wa Arlanda Sweden Mkuu huyo alifanya mazungumzo na mwenyeji wake beans Bojorn Sweden juu ya kuimarisha uhusiano uliokuwepo Kati ya Wadi ya Makunduchi na Manispaliti ya Sindsvall.
RAIS WA BURUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA KIZIMKAZI ZANZIBAR
-
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani
kwake...
1 day ago
0 Comments