Kiwanda cha kutengeneza magari ya Landrover nchini Uingereza jana kilitoa gari ya mwisho na kusema sasa basi kwa Gari hizi za Landrover ambazo kwetu Zanzibar ilikuwa ni gari muhimu tokea enzi za ukoloni na hadi hivi leo bado gari hizi zinatumika kutokana na umadhubuti wake.
KASEKENYA ATOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MOTO ILEJE
-
Mbunge wa Ileje ambaye ni Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya
ametoa pole kwa familia zilizoathiriwa na moto ulioteketeza msitu Wilayani
Ileje...
1 hour ago

0 Comments