6/recent/ticker-posts

Dkt. Shaka Ssali Azungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Habari Zanzibar.

 
Dkt. Shaka Mwandishi wa Voice of American, akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Habari Zanzibar katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo, wakati akiwa katika ziara yake nchini Zanzibar.
     Dkt. Shaka akisisitiza jambo wakati akiwa na mazungumzo na Wanafunzi wa Chuo cha Habari Zanzibar.

Wanafunzi wa Chuo cha Habari Zanzibar wakimsikiliza Dkt. Shaka alipofika kuzungumza nao kuhusiana na waandishi wa habari na kazi za habari duniani

        Wadau wa habari wakiwa makini wakimsikiliza Dkt. Shaka, wakati wa mzungumzo na wanafunzi hao.
       Dkt. Shaka akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo na Wanafunzi wa Chuo cha Habari Zanzibar.


  Wakiwa makini kusikiliza maswali ya Wanafunzi wa Chuo cha Habari Zanzibar, wakimuuliza Dkt. Shaka.



Post a Comment

2 Comments

  1. ndugu waandishi wetu msikubali kupigwa kasumba ambazo haziendani na maendeleo ya nchi yetu , hao akina ssali wana ajenda zao za siri , muwe waangalifu

    ReplyDelete
  2. Anonymous 1, Nakubaliana nawe kwamba hawa jamaa tuwe makini nao sana kwani huwa wana ajenda zao za siri. Miaka kiasi mitano hivi, nikiwa mfanyakazi wa taasisi moja hapo Zanzibar, tulipokea mwanafuzi kike kutoka Marekani. Jina lake akijiita Safia (sio muislam). Lengo lake alivyotwambia ni kufanya tafiti kuhusu water quality. Akachagua Shehia ya Magogoni (sijui kwa kigezo gani, nadhani tayari alikuwa na taarifa fulani fulani). Basi nikakabidhiwa mimi nimpeleke Magogoni pamoja na kumpa kila msaada anaohitajia kufanikisha tafiti yake.
    Siku ya kwanza tukatoka kuelekea Mogogoni nikamtambulisha kwa Sheha, na kufanya shughuli zote alizokusudia.
    Siku ya pili nikiwa najiandaa kuondoka nae kuelekea Magogoni, akaniambia atakwenda mwenyewe peke yake, nikashangaa kidogo, vipi kapata uenyeji kwa siku moja hiyo, nikamsisitiza kwamba ni vyema tukenda pamoja kutokana na usalama wake. Akashikila msimamo wake kwamba aende peke yake. Nikamkubalia akaenda peke yake tena kwa kutumia dalalala.

    So point hapa ni dhahiri alikuwa na mambo yake mengine ya siri ukitoa hiyo issue ya tafiti ya water quality kwani alikuwa akipata access ya moja kwa moja kuingia majumbani na kuchukua sample za maji, na hivyo kupata fursa tosha ya kuchunguza anachokitaka. Kwa hivyo tuwe macho sana na hawa jamaa, wana techniques nyingi za upelelezi bila ya sisi kuelewa nini kinachoendelea.

    Hata hizi ziara za baadhi ya wanafunzi wa skuli za Ulaya ambazo wamejenga urafiki na skuli za hapa kwetu (mfano Makunduchi) zinapaswa zitizamwe kwa makin sana, hawa jamaa wana yao waliyoyaficha kwenye mioyo yao. Niliwahi kuwatabahisha jamaa wa Skuli ya Makunduzhi ambayo hutembeelewa na wanafunzi kutoka ulaya, lakiini wakanambia nisiwe na wasiwasi nao?!!

    Tuwe macho.

    ReplyDelete