6/recent/ticker-posts

Mkutano wa Hadhara wa CUF na Ukawa kibanda maiti Zanzibar

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Ukawa  katika viwanja vya kibanda maiti Zanzibar  
Mzee Hassan Nassor Moyo, akihutubia katika mkutano huo wa Ukawa uliofanyika katika viwanja vya kibanda maiti  
Katibu Mkuu wa Chama NCCR- Mageuzi Ndg.Mossena Nyambabe, akizungumza katika mkutano huo katika viwanja kibanda maiti. 
Viongozi wa Vyama vya Upinzania wakiwa katika viwanja vya kibanda maiti wakimsikiliza kiongozi wa ukawa.

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibrod Slaa, akihutubia katika mkutano huo wa Ukawa uliofanyika katika viwanja vya kibanda maiti Zanzibar.
     Mwananchi akiwa kabandika nywele na kujipaka rangi akiwa makini katika mkutano huo wa ukawa.
                        Mambo ya rusha roho hayoo wanachama wakisherehekea katika mkutano huo.

Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakifuatilia mkutano huo wa ukawa uliofanyika katika viwanja vya kibanda maiti.
            Viongozi wa Ukawa wakiwa katika mkutano huo katika viwanja vya kibandamaiti Zanzibar.

Viongozi wa Ukawa wakifuatilia Mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya kibanda maiti Zanzibar, kutoka kushoto Mhe James Mbatia, Mhe. Profesa Ibrahim Lipumba na Mhe. Freeman Mbowe. 
Mwenyekiti wa Chama cha NLD Dkt. Emmanuel Makaidi, akihutubia katika mkutano huo wa ukawa uliofanyika katika viwanja vya kibanda maiti Zanzibar. 
Mchungaji Mtikila akihutubia katika mkutano huo.





Post a Comment

0 Comments