6/recent/ticker-posts

RAIS KIKWETE AONGEA NA MAMIA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao usiku wa Machi 30, 2014 katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Wembley, London, aliko katika ziara ya kiserikali ya  siku tatu kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe David Cameron

Watanzania wanaoishi Nchi Uingereza wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwahutubia wakati wa ziara yake Nchini Uingereza   


Post a Comment

1 Comments

  1. tunajua JK umeenda kupigwa msasa na mabwana zetu wasiotaka muungano uvunjike, ushauri wangu waambie wanachotaka waznz ndio hicho hicho , ukiwasikiliza sana utaiingiza nchi kwenye majanga wao watakuwa hawapo itakuwa vita vya kunguru , wao wenyewe muungano wao na skotiland upo mashakani na angalia walivyo na demokrasia wanapiga kura ya maoni , kwa nini usitumie akili zako za kuzaliwa ukaachana na watu wasiotuhusu , tuamue mambo yetu kwa amani tuvunje muungano au uwe wa mkataba kwa utulivu na tuendelee kushirikiana kama majirani kwa udugu na urafiki , kuliko kufika mahali tukawa tunajijutia kwa makosa na umwagikaji damu? kama vile yukraine , siria na kwengineko. Sisi tunajua vizuri huu muungano haupo kwa tanganyika na znz tu , kuna mataifa ya nje yamehusika kuufanya na ambao walichochea mapinduzi ili hili gonjwa la muungano liwepo lakini waambie sasa mabavu hayafai tutaumia sote , wao wako mbali wanachochea moto hawaumii hata kidogo , tumia maarifa JK utuachie nchi yetu ndugu yangu dhuluma , ubabe na maonevu hayana mwisho mwema wala tija , mwogope mola usifikiri utaishi milele , mwl nyerere kashatangulia huko anakula kisago kila siku kwa kutudhulumu waznz , amka mapema JK muda unao wa kuturudishia haki zetu na uhuru wetu usiwasikilize watu wachache kwa manufaa yao

    ReplyDelete