6/recent/ticker-posts

Ziara ya Balozi Mdogo wa China Kutmbelea Miradi Inayofadhili China Zanzibar.u


Mhandisi aliyefunga Mnara huu, akitowa maelezo kwa Balozi wa China Chen Quiman na Waziri wa habari Said Ali Mbarouk, wakati wa ziara ya Balozi wa China kutembelea miradi inayofadhiliwa na China katika sekta ya Habari Zanzibar.
 Balozi Mdogo wa China Chen Quiman, akisisitiza jambo na Waziri wa Habari Said Ali Mbarouk, kuhusiana na mnara wa Redio uliohamishiwa Bungi kutoka Chumbuni, ambao uko katika hatua za mwisho kwa kutowa huduma ya kurushia matangazo ya redio Zanzibar.inachoonekana na kianzio cha mnara huo.
 Mafundi wa kichina wakifunga mtambo wa kurushia matangazo ya Redio katika kituo cha kurushia matangazo hayo huko Bungi .
 Balozi Mdogo wa China Chen Quiman akitowa maelezo ya mmmoja wa mtambo wa kurushia matangazo katika kituo cha Dlole kwa Waziri wac Habari Said Ali Mbarouk.
 Msimamizi wa Kituo cha  kurushia matangazo ya short wave dole Mohammed Juma Kombo, akitowa maelezo ya kituo hicho kinachorusha matangazo yake  kwa nchi za mbalimbali, akitowa maelezo hayo kwa Balozi Mdogo wa China Chen Quiman na Waziri wa Habari Said Ali Mbarouk, wakati wa ziara ya balozo wa china.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Yussuf Omar Chunda akizungumza na Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Chen Quiman, wakiwa katika kituo cha kupokelea matangazo ya CCTV masingini wakati wa ziara ya Balozi wa China kutembelea vvya kurushia matangazo bvya Shirika la UItangazaji Zanzibar.
 Balozi Mdogo wa China Chen Quiman na Waziri wa Habari Said Ali Mbarouk Naibu Waziri wa Habari Bihindi Hamad wakiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa wizara na wataalamu wa Kichina wakiwa nje ya kituo cha kupokelea matangazo ya TV ya CCTV kilichoko  Masingini.
 Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk. akitowa shukrani kwa Balozi mdogo wa China kwa nchi yake kutowa nafasi za mafunzo kwa Wafanyakazi wa Wizara yake Nchini China kwa vipindi tafauti.
 Balozi Mdogo wa China Zanzibar Chen Quiman, akizungumza na Wafanyakaszi wa Wizara ya Habari waliopata Mafunzo ya Kozi mbalimbali China akitowa shukrani zake kwa wafanyakazi hao kwa kupata elimu nchini China baada ya kumaliza ziara yake kutembelea miradi inayofadshaliwa na China katika sekta ya habari, mkutano huo umefanyika ukumbi wa Wizara ya habari.
 BAADHI ya Wafanyakazi wa Wizara ya Habari waliopata Mafunzo ya muda mfupi na mrefu wakimsikiliza Balozi Mdogo wa China akizungumza na Wanafunzi hao katika Ukumbi wa Wizara ya Habari Mnazimmoja.
BAADHI ya Wafanyakazi wa Wizara ya Habari waliopata Mafunzo ya muda mfupi na mrefu wakimsikiliza Balozi Mdogo wa China akizungumza na Wanafunzi hao katika Ukumbi wa Wizara ya Habari Mnazimmoja.

Post a Comment

0 Comments