6/recent/ticker-posts

Chuoni 3 Mafunzo 0 Ligi kuu ya grand malt



Golikipa wa timu ya Chuoni , Mohammed yussuf akiokoa moja ya hatari iliyoelekezwa langoni kwake dhidi ya timu ya Mafunzo katika mfululizo wa ligi kuu ya grand malt ya Zanzibar iliyofanyika Uwanja Amaan jana. Chuoni iliifunga Mafunzo 3-0.

Picha na Martin Kabemba

Post a Comment

0 Comments