Mchezaji wa Timu ya Simba akijaribu kumpita beki wa Timu ya Azam wakati wa mchezo wao wa Nusu Fainali Michuano ya Kombe la NMB Mapinduzi Cup, mchezo uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar. Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
AFRIKA KUUNGANA KUCHOCHEA MAENDELEO YA VIWANDA.
-
Na. Saidina Msangi, WF, Abidjan, Côte d’Ivoire.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mshamu Ali Munde (Mb), kwa niaba ya Waziri wa
Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa O...
3 hours ago














0 Comments