Muonekano wa Jengo jipya la Soko la Mboga Mombasa Wilaya ya Magharibi "B" Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matikufu ya Zanzibar, ufunguzi huo uliyofanyika leo 4-1-2026.
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungan...
13 hours ago



















0 Comments