Mchezaji wa Timu ya Simba akimpita beki wa Timu ya Fufuni wakati wa mchezo wao wa Kombe la NMB Mapinduzi Cup 2026, uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.
NBAA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA TAALUMA YA UHASIBU KWA WANAFUNZI WA CHUO
KIKUU CHA MZUMBE
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea
kutoa elimu na mafunzo kwa vyuo vikuu pamoja na shule za sekondari ikiwa na ...
7 hours ago











0 Comments