Mchezaji wa Timu ya KVZ na Uhamiaji wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ 2025/2026, uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja.Kati mcezo huo timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
KATIBU MKUU CCM AZUNGUMZA NA WABUNGE WA EALA TANZANIA.
-
DODOMA | 24 Julai 2026
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro,
amekutana na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki...
11 hours ago












0 Comments