Msanii wa Kizazi Kipya akitowa burudani katika Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi viwanja vya mpira Paje Mkoa wa Kusini Unguja.
DKT. ABBASI AKAGUA MIRADI YA UTALII PORI LA AKIBA LA PANDE, ATOA MAAGIZO YA
KUKAMILIKA KABLA YA AFCON 2027
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Julai
23, 2026, ametembelea Pori la Akiba la Pande jijini Dar es Salaam na
kukagua ...
8 hours ago








0 Comments