Mtaalamu wa lugha ya Alama Masika Khamis Ali akitoma maelezo kwa Wananchi wa makundi maalumu wakati wa ufungaji wa Mkutano wa Kampeni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya mpira Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja nuliyofanyika leo 26-10-2025, wakati Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufunga kampeni leo.
NGORONGORO NI ZAIDI YA KRETA.
-
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro inaendelea kuvitangaza vivutio vya
utalii vilivyopo ndani na nje ya Ngorongoro ili kuidhihirishia dunia kuwa
eneo ...
9 hours ago





















0 Comments