MUONEKANO wa moja ya Boti Tatu za Kusafirisha Wangonjwa “Ambulance Boat” zilizozinduliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika
eneo la Hotel ya Verde Mtoni Wilaya ya
Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-2-2025
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muungan...
12 hours ago



0 Comments