Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akikagua mafunzo kwa vitendo ya Waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya biometriki (BVR) kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya mkoani Mbeya leo Desemba 24, 2024. Mkoa wa Mbeya, Iringa na Halmashauri ya Mpwapwa Mkoani Dodoma inataraji kuanza uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Desemba 27 mwaka huu hadi Januari 02, 2025. (Picha na INEC).
POLISI NA MADEREVA WA BAJAJI WASHIRIKI KUTOA FARAJA KWA WENYE MAHITAJI
WILAYANI ILEJE.
-
Kikosi cha usalama barabarani Wilaya ya Ileje kimeungana na wasafirishaji
wa abiria kwa kutumia bajaji kuwafariji na kuwasaidia wagonjwa waliolazwa
katik...
7 hours ago
0 Comments